Saturday, August 28, 2010

Jadi zetu Morogoro

alipotea nyumbani kwao kwa miezi kadhaa,alikuwa kati kati ya msitu akiwa analala juu ya jiwe,alipokuwa akiondoka alikuwa ameshika kipande cha ndimu mkononi,alipokuwa huko watu aliwaona lakini wao hawakumuona wakimtafuta,akijisikia baridi moto unakuja wenyewe anaota,chakula anaambiwa nyosha mkono kinakuja,wakati mwingine woote anapewa majina ya dawa.
hatimaye alitoka huko akawa na amakabithiwa kibuyu,kioo na msinga(manyoya ya kupungia mizimu)
ni mganga anaeoteshwa dawa na ameolewa na watoto wawili,tembelea www.chilunga.or.tz kwa maelezo zaidi

No comments:

Post a Comment